






Ubungo kibamba, Dar es Salaam
Nyumba mpya ya kisasa inauzwa Ubungo Kibamba, njiapanda ya Shule. Inavyumba vitatu (kimoja Master) sebure, jiko na choo cha wageni. pia kuna jengo dogo la vyumba viwili. Umiliki mauziano ya serikali za mtaa, limelasimishwa tayari tayari, hati inatoka kwa jina la mnunuzi. Maongezi yapo.
Bedrooms
3
Bathrooms
2
Car Parking
6
Land Size
800 Sqms
Price
TSH 48,000,000
Interested in Nyumba Inauzwa Kibamba Ubungo? Fill out the form below to reach out.