





















Mbezi kwa Msuguri, Dar es Salaam
Nyumba kubwa ya kisasa inauzwa Mbezi kwa Msuguri, upande mmoja ni ghorofa. Inavyumba 6, viwili masta, vyoo vya wageni viwili juu na chini, jiko, sebure na stoo kubwa. Hati miliki ipo, maongezi yapo. Kwa sasa kuna mpangaji analipa 800,000 kwa mwezi.
Bedrooms
6
Bathrooms
4
Car Parking
12
Land Size
1000 Sqms
Price
TSH 450,000,000
Interested in Nyumba kubwa ya kisasa inauzwa Mbezi kwa Msuguri? Fill out the form below to reach out.