





Kinondoni
Nyumba kubwa inauzwa iliyopo maeneo ya Kinondoni. Nyumba ni kubwa na nzuri ipo ndani ya fensi yenye eneo kubwa sanaa lenye kuweza kujenga jengo lingine pamoja na kuegesha magari. Nyumba ipo karibu na barabara ya rami KAWAWA ROAD na huduma nyingine za kijamii zinapatikana. Nyumba ina vyumba vinne (4) vya kulala ambavyo viwili (2) vina choo ndani, sebule kubwa, jiko na chumba cha kulia chakula. Umeme na maji ya Dawasco yanapatikana Wasiliana nasi leo ili uweze kuiona nyumba na kununua ili umiliki nyumba kubwa mjini.
Bedrooms
4
Bathrooms
3
Car Parking
6
Land Size
1000SQM
Price
TSH 270,000,000
Interested in Nyumba Kubwa Inauzwa? Fill out the form below to reach out.