








Mbezi mwisho bus terminal, Dar es Salaam
Nyumba hii ya ghorofa mpya ipo katika eneo tulivu na lenye mandhari nzuri huko Mbezi Mwisho, Mtaa wa Muhimbili. Ina nafasi kubwa na muundo wa kisasa unaokidhi mahitaji ya familia yoyote. Sifa Muhimu za Nyumba: Vyumba sita (6) vya Kulala, Sebule Kubwa, Chumba cha Kulia Cha kula na Jiko, Chumba cha Kusomea na Stoo Eneo Kubwa la kupaki magari na kutosha kwa shughuli mbalimbali za kifamilia na bustani. Ipo umbali wa kilomita 1 kutoka barabara ya Goba. Hati Miliki ipo Usikose nafasi hii ya kumiliki nyumba ya ndoto zako katika eneo lenye utulivu na usalama. Wasiliana nasi leo ili kupanga kutembelea na kupata nyumba yako mpya!
Bedrooms
6
Bathrooms
6
Car Parking
3
Land Size
2400SQM
Price
TSH 420,000,000
Interested in Nyumba Kubwa ya Ghorofa Inauzwa? Fill out the form below to reach out.