Description

Nyuma inauzwa Mbezi Mwisho (Mbezi ya Kimara) ina Vyumba 3 (kimoja Master), Dinning, Sitting, Kitchen & Public Toilet Maji Ya Dawasco na Umeme Vyote Vipo Nyumba Iko Ndani Ya Fence (Mtaa Mzuri) Barabara nzuri mpaka kwenye Nyumba Maelewa yapo.

Features

Bedroom
Bedrooms: 3
Bathroom
Bathrooms: 2
Car Parking
Car parking: 5
Land Area
Land size: 500 Sqms

WhatsApp