



Mbezi Makabe kwa Kilungu, Dar es Salaam
Nyumba ya kisasa inauzwa Mbezi Makabe, vyumba vitatu (kimoja Master) jiko, sebure na choo cha wageni, Madirisha ya vioo, uwanja umesakafiwa na mandhari safi.
Bedrooms
3
Bathrooms
2
Car Parking
10
Land Size
600 Sqms
Price
TSH 95,000,000
Interested in Nyumba ya Vyumba Vitatu inauzwa Mbezi Makabe? Fill out the form below to reach out.