









Makabe RC Church, Makabe Rd, Dar es Salaam
Nyumba kubwa ya kisasa inauzwa Mbezi Makabe, Inavyumba vitatu (kimoja master), Sebule, jiko la kisasa, choo cha wageni na sehemu ya kulia chakula. AC, Nyumba ndogo ya chumba na sebule. Hati ipo, Maongezi yapo
Bedrooms
3
Bathrooms
2
Car Parking
8
Land Size
800 Sqms
Price
TSH 160,000,000
Interested in Nyumba kubwa inauzwa Mbezi Makabe? Fill out the form below to reach out.