Nyumba kubwa na ya kisasa inauzwa Goba . Ina kiwanja cha mita za mraba 900. Vyumba 4 (1 master) Sebure Jiko Stoo, choo cha wageni na sehemu ya kulia chakula. Ina nyumba ndogo yenye chumba na gereji. Umeme na maji ya kutisha. Hati miliki. Mazungumzo yapo