Description

Nyumba kubwa inauzwa iliyopo Tegeta karibu na Ununio, yenye mazingira mazuri na nafasi kubwa yenye kulaza magari. Nyumba ipo ndani ya fensi, ulinzi wa uhakika na ipo karibu na barabara. Umeme na Maji vinapatikana. Nyumba ina vyumba 6 vikubwa vya kulala na chumba na choo ndani. Sebule, jiko na chumba cha chakula. Karibu uwahi sasa na ujipatie nyumba kubwa.

Features

Bedroom
Bedrooms: 6
Bathroom
Bathrooms: 3
Car Parking
Car parking: 3
Land Area
Land size: 900SQM

WhatsApp