Gorofa nzuri ya Kisasa sana Inauzwa SALA SALA BIG BROTHER Dar es salaam - Tanzania Ina Vyumba Vitano vya Kulala vyote ni self Conteinar Master Bedroom Sitting room Dining room Kitchen Store Public toilet Servant quarters Ukubwa wa kiwanja: sqmt 1600 TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi) maji safi dawasco umeme vyote vipo Gorofa Ipo mtaa mzuri sana (The neighbors are very well organized)