








Mbweni, Dar es Salaam
Nyumba Kubwa ya Ghorofa Moja iliyopo Mbweni Mpiji inauzwa. Nyumba ipo umbali wa mita 700 kutoka barabara ya Bagamoyo. Sifa za Nyumba Vyumba vinne (4) vya kulala, sebule kubwa, chumba cha kulia chakula, jiko kubwa na chumba cha stoo. Nafasi kubwa ya kupaki Magari. Maji, Umeme na huduma zote za kijamii zinapatikana. Wasiliana nasi leo ili kupanga kutembelea na kupata nyumba yako mpya
Bedrooms
4
Bathrooms
2
Car Parking
5
Land Size
1200SQM
Price
TSH 550,000,000
Interested in Nyumba Kubwa Ya Ghorofa Moja Inauzwa? Fill out the form below to reach out.