Description

Ghorofa kubwa linauzwa Mbweni karibu na JKT, inavyumba vitano (juu viwili master, Chini vitatu) lipo kwenye eneo la ukubwa wa mita za mraba 1500, linafaa kwa matumizi ya kuishi au kiofisi pia. Maongezi yapo.

Features

Bedroom
Bedrooms: 5
Bathroom
Bathrooms: 4
Car Parking
Car parking: 15
Land Area
Land size: 1500 Sqms

WhatsApp