







Bunju B, Mabwepande
Nyumba kubwa inapangishwa Bunju B (Njia ya Mabwepande) Inavyumba vitatu kimoja masta, jiko, sebure, na choo cha wageni, feni, makabati na hita ya maji. Eneo kubwa sana la parking na watoto kucheza. Ziko nyumba mbili kwenye compound moja.
Bedrooms
3
Bathrooms
2
Car Parking
20
Land Size
1800 Sqms
Price
TSH 700,000
Interested in Nyumba Inapangishwa Bunju B? Fill out the form below to reach out.