







Bunju A, Bagamoyo Road
Villa nzuri na ya kisasa ya ghorofa moja iliyopo Bunju A inauzwa. Villa ni kubwa na nzuri iliyopo ndani ya fensi ikiwa imezungukwa na mazingira tulivu na salama. Villa ina vyumba vinne vikubwa,sebule kubwa, chumba cha chakula, jiko pamoja servant quarter ya nje. Villa hii ipo karibu na huduma zote muhimu kama vile shule, vituo vya afya, maduka, na usafiri wa umma. Maji, umeme na mahitaji yote muhimu yanapatikana. Title Deed ipo. Kwa mahitaji wasiliana nasi mapema ili ukajipatie villa hii nzuri
Bedrooms
4
Bathrooms
4
Car Parking
6
Land Size
900SQM
Floors
1
Amenities & Highlights
Price
TSH 400,000,000
Interested in Villa ya Ghorofa Inauzwa? Fill out the form below to reach out.