Plots for sale at Kerege Matumbi wilaya ya Bagamoyo. Viwanja vinapatikana umbali wa 3km kutoka barabara kuu ya lami Bagamoyo road. Viwanja vipo vya ukubwa tofauti tofauti na bei Cash 22000 kwa sqm na Installment 25,000 kwa sqm (Installment ya miezi 6) Site visit inaweza fanyika siku yoyote kulingana na ratiba ya mteja...