










Mabwepande Road, Mabwepande Junction, Bagamoyo Road, Dar es Salaam
kiwanja kikubwa kinauzwa Mabwepande, umbali toka Bagamoyo Road ni kilometa 3 tu, umbali toka barababara ya Bunju-Mbezi Magufuli mita 70 tu. Kiwanja kinatazama barababara inayopitika ya mtaa, Umeme na Maji safi yanapatikana. Kiwabja kimepimwa na hati inatoka kwa jina la atakayenunua.
Land Size
2185SQM
Price
TSH 65,000,000
Interested in Kiwanja Kikubwa Kinauzwa Mabwepande? Fill out the form below to reach out.