Description

Kiwanja kizuri tambarare kinauzwa Bunju B, Mabwepande. Kimepimwa ukubwa wa mita za mraba 700 kinafaa kwa aina yeyote ya nyumba ya makazi. Barabara nzuri hadi kwenye kiwanja.

Features

Land Area
Land size: 700 Sqms

WhatsApp