









Ununio Road, Dar es Salaam
Karibu kwenye nyumba ya ndoto yako! Nyumba hii ya ghorofa yenye sifa za kipekee inapatikana kwenye eneo lenye mandhari nzuri ya Ununio Beach, ikitoa faraja, usalama, na matumizi bora ya nafasi. Vyumba vitano vya kupumzika vinavyotolewa kwa mtindo wa kisasa na kuzingatia faraja ya familia yako na vyumba vitatu vya kujitegemea (self-contained), Sebule kubwa na Jiko la kisasa. Maji, Umeme na huduma zote za muhimu zinapatikana. Wahi sasa uweze kujipatia vyumba hii nzuri ya ndoto yako.
Bedrooms
5
Bathrooms
3
Car Parking
4
Land Size
1100SQM
Floors
1
Amenities & Highlights
Price
TSH 350,000,000
Interested in Ghorofa Kubwa Linauzwa? Fill out the form below to reach out.