




Msasani, Dar es Salaam, Tanzania
Bedrooms
1
Bathrooms
1
Car Parking
800
Land Size
14580
Built Area
52sq, 54sq, 80sq, 98sq, 120sq, 124sq,150sq.
Year Built
2025
Floors
1
Amenities & Highlights
Price
TSH 210,000,000per Property
Interested in LUXURY APARTMENTS FOR SALE IN MSASANI BEACH? Fill out the form below to reach out.
Mango tree residence ni mradi mpya unaojengwa hivi sasa eneo la Msasani beach nyuma ya nyumba ya mwalimu nyerere mikocheni. Mradi huu ni mradi mpya utakaokuwa na apartment za kisasa (Luxury apartments) Ni mradi Blocks 5 zenye gorofa 17 kila blocks Mradi huu una aina 3 za apartments 1,2&3 bedrooms. Mradi umeanza kujengwa mwaka jana mwezi wa 8, 2025 mpaka sasa upo kwenye 30% ya ujenzi, Mradi utakuwa na jumla ya apartments 573. Na mpaka sasa tumeuza zaid ya apartments 70, ukifika ofisini ambako ndio site yetu ilipo utapata kuona billbord yetu ya mauzo kwa maana Umeshaanza kuuzwa wakati ukiwa unaendelea kujengwa na unatarajiwa kukamilika Dec 2027 kwa phase ya kwanza na 2029 phase ya 2, na malipo yake ni kwa awamu (Installment) kianzio cha malipo ni 30% ya bei ya unit utakayoichagua, na kiasi kitakachobakia utakilipa taratibu ndani ya miezi 20 hadi 24. Mradi wetu utakuwa vitu vifuatavyo. Gym, swimming pool 2, Uwanja wa tennis, eneo la kuchezea watoto, Parking kubwa kabisa, Ulinzi mkubwa, Cctv camera, LIFT 2 kwa kila floor yenye watu 6, Standby Generators, BAR, Garden kubwa na utapata upepo wa bahari kwa sababu mradi upo ufukweni (Beach access) Fursa kwako mwekezaji na mfanyabiashara wa real estate unaweza kununua apartments hizi ukafanya biashara ya airbnb,hotel,apartment renting na ukapata pesa zaidi kwa uwekezaji wako na kizuri zaidi return yako haizidi miaka 6 kulingana na rates za kupangisha kwa siku na mwezi kwa location ya msasani beach na mikocheni. Pia kwa wale uliekuwana ndoto ya kumiliki apartments za kuishi kwenye ufukwe wa bahari ya hindi (Beach) hii ndio nafasi yako usije ukaipoteza. Bei zetu One bedrooms starting price 94000$ Two bedrooms starting price 143,000$ Three bedrooms starting price 195000$ Hizi bei zote ni bei za floor za kwanza, unapopanda juu zaidi bei huongezeka kwa sababu ya kupata view nzuri zaidi Apartments zetu unaweza kununua kwa dola au Tanzania shillings itategemea na rates za siku ya malipo za siku hiyo. Discount rates Ukilipia 30% dis 5% Ukilipia 50% dis 7-10% Ukilipia 100% dis 12 -15% Kiasi kinachobakia utakilipa taratibu ndani ya miezi 20 hadi 24 kama utatanguliza 30% au 50% FURSA NDIO HII KUZIWAHI MAPEMA KABLA BEI HAZIJAPANDA, UJENZI UKIFIKA 50% HATUTOKUWA NA BEI NILIZOKUANDIKIA HAPO KIMBIA HARAKA Kwa maelezo zaidi ukitaka kutembelea mradi huu, kujua bei zaidi za unit tulizo nazo, namna ya kufika site na ofisini tupigie au whatssap 0743 598 873. Karibu sana mango tree residence, wekeza nasi unufaike zaidi, Uzee hauna hodi. Karibuni sana. SITE KUJA NI SIKU YOYOTE PIGA SIMU. Denis masoko Mango tree residence msasani beach 0743 598 873