









KKKT Dovya Lutheran Church, Dar es Salaam
Nyumba Inauzwa Tanya Yombo Dovya. Inagusa Lami kabisa Ina uwanja wa ukubwa wa mita za mraba 910. Kuna ukumbi mkubwa wa zamani kwa sasa unatumika kama Day Care, kuna vyumba viwili vya ofisi, frame 12 na apartment ya chumba self sebure jiko. Hati safi ipo.
Land Size
910 Sqms
Amenities & Highlights
Price
TSH 200,000,000per Property
Interested in Nyumba Inauzwa Yombo Dovya? Fill out the form below to reach out.