Nyumba nzuri ya kisasa Inauzwa milioni 130 maongezi yapo đź“Ť Ipo BOKO CHAMA - Dar es salaam - Tanzania â–«Vyumba Vitatu vya Kulala â—‡Master Bedroom â–«Sitting room â–«Dining room â—‡ Kitchen â—‡Store â–« Public toilet â–«Ukubwa wa kiwanja: sqmt 800 â—‡document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi) â—‡maji safi dawasco umeme vyote vipo