ENEO LA KIBIASHARA LINAUZWA MWANANYAMALA Linatizama main road ya Mwananyamala lipo karibu na Mwananyamala hospital Eneo linafaa kwa kujenga Apartments, Maduka, Office Space, Kituo cha Afya na Makazi. ■Ukubwa wa eneo ni 400sqmt ■Bei 500m tsh ■Document:Title deed