





















Kunduchi pharmacy & Cosmetics Mtongani, bahari Mtongani, Amani Road, Dar es Salaam, Tanzania
Eneo lina ukubwa wa sqm 1738, lina sea view nzuri sana ya bahari ya Hindi, limezungushiwa ukuta na linajumuisha Nyumba kubwa ya kisasa yenye vyumba vya kulala vinne, kimoja ni master bedroom, nyumba ndogo ya mpangaji, frame 4 nje ya ukuta, Eneo lipo meter 200 tu kutoka barabara ya lami ya kunduchiโฆ Eneo linafaa sana kwa uwekezaji wa apartments, hospitali, hotel, shule n.k.. Eneo limepimwa na lina approved map kutoka wizara ya ardhiโฆ
Land Size
1738
Price
TSH 750,000,000per Plot
Interested in A FULL FENCED 1738 SQM SEA VIEW PLOT FOR SALE AT KUNDUCHI? Fill out the form below to reach out.