Nyumba ya vyumba 10 inauzwa Mji mwema Kigamboni, Ina sebure, jiko, choo cha wageni, choo cha nje. Nyumba iko karibu na barabara kuu ya kigamboni pia itakuwa karibu na kituo cha mwendokasi. Kwa sasa nyumba ina wapangaji vyumba vyote.
Mark as Sold
Report Abuse
Posted 4 months ago
Ruaha Assets
Member since a year ago