








Kijitonyama
Nyumba kubwa ya kipekee na Ghorofa moja kubwa na la kisasa lililopo kwenye kiwanja kimoja zilizopo Kijitonyama zinauzwa kwa pamoja. Nyumba ni kubwa na zipo eneo zuri lenye makazi mazuri ya kuishi na lenye mazingira mazuri. Sifa za nyumba. 1. Nyumba ya pekee ina vyumba vikubwa vitatu (3) vya kulala, sebule kubwa, chumba cha chakula, jiko kubwa pamoja na choo na bafu. 2. Ghorofa lenye floo moja lina vyumba vitatu (3) vya kulala, sebure kubwa, sehemu ya chakula, jiko store pamoja na choo na bafu Huduma zote za kijamii zinapatikana ikiwemo Maji Safi ya DAWASA pamoja na Umeme, vilevile zipo karibu kabisa na Hospitali. Hati safi ipo (Title Deed) Wahi sasa uweze kumiliki nyumba hizi nzuri.
Bedrooms
6
Bathrooms
2
Car Parking
2
Land Size
1000SQM
Floors
2
Amenities & Highlights
Price
TSH 600,000,000per Plot
Interested in Nyumba kubwa na Ghorofa kwa Pamoja Zinauzwa ? Fill out the form below to reach out.