Description

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa mtaa wa Ngerengere, Kihonda Morogoro. Ina kiwanja cha ukubwa wa 1119 sqms na pembeni pia kuna kiwanja cha 1117sqms kimezungushiwa ukuta. Viwanja viko barabarani na ni kona plot pande zote mbili. Iko karibu na shule, masoko, mahospitali na shughuli zote za kijamii. Inafaa kwa uwekezaji wa makazi ya kupanga.

Features

Bedroom
Bedrooms: 3
Bathroom
Bathrooms: 3
Land Area
Land size: 2236 Sqms
Garden
Ceiling Fan
Water Reserve Tank
Near Shops
Near Public Transport

WhatsApp