Description

Nyumba ya Ghorofa Moja, Vyumba 4 vya kulala vyote ni Master na Makabati ya nguo, Sebule kubwa na eneo la kulia chakula (*Dining*), Jiko la kisasa lenye makabati, Eneo la kupaki magari kubwa (Parking Space), Garden ndogo na mazingira safi, Potential / Prime area Laundry Area & Storage Room, Tiles, Gypsum and Sliding Windows and Door. Stand alone house Secure & serene environment

Features

Bedroom
Bedrooms: 4
Bathroom
Bathrooms: 5
Bedroom
Built Year: 2025
Water Reserve Tank
Near Shops
Ceiling Fan
Garden
Near Beach
Near Public Transport

WhatsApp