Nyumba iko Manispaa ya Ubungo, nyuma ya stendi ya Magufuli Mbezi mwisho; ina Vyumba 3, Kimoja Master, Dinning, Sitting, Jiko & Vyoo vitatu Pia kuna flemu moja ya duka kwa mbele. Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement) Karibu Mteja, Maongezi yapo