Jengo la Biashara Ghorofa Mbili linauzwa Kimara Suka
Views 391
Description
Jengo la ghorofa mbili linauzwa, lipo Kimara Suka mkabala na Morogoro Rd. Umeme na Maji vipo. Kwasasa limepangisha Serikali, na kutumika kama Mahakama ya Mwanzo Kimara, Kodi ya mwaka milioni 34.
Hati ipo.