

















Madale Flamingo Market, Dar es Salaam
Shule nzuri ya kisasa inauzwa Madale Flamingo. Mita 800 kutoka lami ya Madale. Madasa 12, cafteria 2, ofisi ya walimu na mwalimu mkuu, vyoo kila darasa vilivyozingatia wanafunzi wenye ulemavu, nyumba ya vyumba viwili, hati miliki ipo.
Car Parking
20
Land Size
2500 Sqms
Price
TSH 700,000,000
Interested in Shule Nzuri ya Kisasa Inauzwa Madale? Fill out the form below to reach out.